Home / NEWS / TANZANIA SAUTI: Wakimbizi wa Burundi wanaosaka hifadhi Tanzania warejeshwa burundi

TANZANIA SAUTI: Wakimbizi wa Burundi wanaosaka hifadhi Tanzania warejeshwa burundi

 

Wakimbizi kutoka Burundi wakirejea nyumbani kutoka Tanzania.(Picha: UNHCR

Utaratibu mpya wa serikali ya Tanzania wa kuwapokea wakimbizi wa Burundi wanaosaka hifadhi nchini humo wa kuwataka wathibitishe kwamba ni wakimbizi, umesababisha baaadhi yao kurejeshwa nyumbani ha hivyo kuhitaji msaada zaidi.

Mratibu Mkazi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Burundi , Abel Mbilinyi ameiambia idhaa hii katika mahojiano maalum kuwa hatua hiyo imesababisha usumbufu kwa wakimbizi.

(Sauti Mbilinyi)

Hata hivyo amesema hatua hiyo ya Tanzania haikiuki sheria na haki za kusaka hifadhi bali ni utaratibu ambao nchi imejiwekea na kinachofanyika hivi sasa ni.

(Sauti Mbilinyi)

CHANZO CHA HABARI  HAPA 

6,024 total views, 1 views today

About Steven Blaiton

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

x

Check Also

Ufaransa yachangia Euro 250,000 kusaidia wakimbizi Tanzania

Msaada wa fedha kwa wakimbizi unawawezesha kujikwamua kiuchumi Serikali ya Ufaransa imechangia ...

Copy Protected by Chetan's WP-Copyprotect.

Powered by themekiller.com anime4online.com animextoon.com apk4phone.com tengag.com moviekillers.com