Home / NEWS / MSANII KEISHA HATIMAYE AMEJIFUNGUA MTOTO WA PILI AMBAYE NI WAKIUME, TAZAMA PICHA ZA MTOTO HUYO NA MAMA YAKE.

MSANII KEISHA HATIMAYE AMEJIFUNGUA MTOTO WA PILI AMBAYE NI WAKIUME, TAZAMA PICHA ZA MTOTO HUYO NA MAMA YAKE.

 

 

Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu (Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni.

Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu (Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni.

Akizungumza na Bongo5 leo Keisha,amesema anashukuru Mungu amejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri. “Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni. Namshukuru Mungu nimejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri,” amesema.

13,510 total views, 20 views today

About Steven Blaiton

4 comments

  1. Pingback: Google

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

x

Check Also

BURUNDI: Imvura nyinshi irimwo urubura n’umuyaga yarononye ibitari bike mu mitumba itandukanye mu ntara ya Bubanza.

Imvura nyinshi irimwo urubura n’umuyaga yarononye ibitari bike mu mitumba itandukanye mu ...

Copy Protected by Chetan's WP-Copyprotect.

Powered by themekiller.com anime4online.com animextoon.com apk4phone.com tengag.com moviekillers.com