Home / NEWS / KAKA YANGU MTOTO WA MAMA MDOGO ANANITAKA, MPAKA ANATISHIA KUJIUA ENDAPO NITAKATAA..!! NIFANYAJE?

KAKA YANGU MTOTO WA MAMA MDOGO ANANITAKA, MPAKA ANATISHIA KUJIUA ENDAPO NITAKATAA..!! NIFANYAJE?

Nimekumbwa na janga jamani mtoto wa mama yangu mdogo ambaye tume kuwa pamoja, mpaka hivi sasa ananitaka kimapenzi na tena ameahidi kunioa endapo nitakubali, pia ameahidi kujiua endapo nitakataa kuwa nae. Naogopa hata kumua mbia mama yake kwani anaweza asiniamini nashindwa nifanyaje jamani. Naombeni Ushauri..!! 

2,892 total views, 4 views today

About Steven Blaiton

One comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

x

Check Also

Ufaransa yachangia Euro 250,000 kusaidia wakimbizi Tanzania

Msaada wa fedha kwa wakimbizi unawawezesha kujikwamua kiuchumi Serikali ya Ufaransa imechangia ...

Copy Protected by Chetan's WP-Copyprotect.

Powered by themekiller.com anime4online.com animextoon.com apk4phone.com tengag.com moviekillers.com